Monday, June 22, 2015

Anonymous

PICHAZ: Shuhudia Hali Ilivyo Baada ya Bunge Kuvamiwa Afghanistan Leo June 22 2015


Hali sio nzuri Afghanistan, kingine kilichochukua headlines kwenye TV za Kimataifa na Mitandaoni ni ishu ya kuvamiwa kwa Bunge la nchi hiyo, mabomu na risasi vimetumika pia !!
Wavamiaji hawakuwa nna nia njema, ripoti zinaonesha jamaa hao walikuwa sita na ni members wa Kundi la Taliban.

Polisi wamefanikiwa kuwaua jamaa hao ambao walikuwa na silaha pamoja na mabomu, hapa ninazo pichaz ambazo zinaonesha jengo la Bunge kwa ndani likiwa na moshi mzito.



Wabunge wa Afghanistan wakiwa nje ya eneo la Bunge baada ya Shambulio hilo.

Wavamiaji hao walilipua gari moja nje ya Jengo la Bunge kabla ya kuvamia ndani !! Watu 18 wameumia kwenye tukio hilo.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.