Sunday, June 21, 2015

Anonymous

MHESHIMIIWA GODBLESS LEMA ATIWA NGUVUNI!


Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ametiwa nguvuni na polisi mara baada ya kubwatuka polisi hawajui kazi yao yakulinda sheria.Mbunge huyo aliulizwa na polisi wewe ni nani swali lililochochea kumdhihaki askari akidai askari sio mzima hamjui hata yeye kama ni mbunge na mjumbe wa kamati kuu chadema na mdau wa utetezi wa wananchi.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.