Saturday, June 27, 2015

Anonymous

MARCIO MAXIMO Awapiga Bao Poulsen, Nooij

REKODI bado zinambeba aliyekuwa Kocha wa Taifa Stars, Marcio Maximo kwani alikuwa na uwezo wa kuzuia na kufunga kwenye kikosi chake kuliko makocha wote waliomfuatia. 

Katika mechi 44 alizoiongoza Taifa Stars kuanzia 2006 hadi 2010, alishinda mechi 16 kutoka sare 15 na kufungwa 13 lakini aliweza kufunga mabao 53 na kufungwa 48, hivyo kupata tofauti ya mabao matano ya kufunga na kufungwa. 

Kwa upande wake kocha aliyesitishiwa mkataba hivi karibuni, Mart Nooij wa Uholanzi, ameiongoza Taifa Stars katika mechi 18, ameshinda tatu, sare sita na amefungwa tisa. Amefunga mabao 17 na kufungwa 28, tofauti ya mabao ni hasi 11. Tazama rekodi za makocha wengine:
STARS CHINI YA MAKOCHA WENGINE
                            P     W   D   L GF   GA   GD   Pts
Jan Poulsen      22   5   7 10 16     28   -12   22
Kim Poulsen     15 5     4   6   17     20   -3   19

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.