Monday, June 22, 2015

Anonymous

Kocha Mkwasa na Julio kocha msaidiz sasa ndani ya Taifa Stars! Wazungu Hatutaki Tena......

 
Habari! naandika hivi kwasababu zifatazo.
1. Mkwasa ni kocha mzuri sanaa, anajua kufundisha mpira wa kibongo na wakimataifa (yanga) anaufahamu sanaa.
2. Julio ni kocha msomi, ana beji za kimataifa, ni mtaalamu wa mpira wa fitina nje ya uwanja, na mpira wa bongo anaujua sanaaaa.



SASA
Namba moja anatasaidia sanaa kufundisha mpira ndani ya uwanja kimataifa na ndani. na namba mbili atasidia kusaka vipaji kila kona ya nchi na kumpa mkwasa na kuweka sawa plus vitina zake nje ya uwanja
Taifa star hapo itakuwa bora, kuliko sasa bora taifa star.

Tukiweza kwa style hii, baadaye ndio tutaleta mzungu kufundisha mpira wa darasani.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.