Monday, June 22, 2015

Anonymous

JB: Vitu Vingi Huwa Naiga Kutoka Kwa Huyu Jamaa!

Leo(Jumapili tar 21) ikiwa ni siku ya Kina baba ‘Father’s Day’, ambapo wakinababa duniani kote husherekea kila mwaka inapofika tarehe kama hii ya leo. 
Mastaa na watu wengi wakawaida wamewatakia furaha na kujivunia baba zao, Staa wa Bongo Movies, Jacob Stephen ‘JB’ ni moja ya mastaa waliowapongeza na kumtakia baba yake furaha kwenye siku hii ya leo kwa kuweka picha akiwa na baba yake kwenye ukurasa wake mtandaoni  na kueleza kuwa toboa kuwa kuna vitu vingi sana huwa ana jaribu kuviiiga kutoka kwa baba yake kwenye ufanyaji wa kazi zake za kuigiza. 

"Vitu vingi najaribu kuiga kutoka kwako.mpaka kwenye kazi zangu.hasa ninapopata husika ya kuigiza kama baba mwenye maadili.mungu akupe maisha marefu. Baraka tele.Happy fathers day..."-JB
Happy Father’s Day kwa kinababa wote.
Mzee wa Ubuyu

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.