Wednesday, June 17, 2015

Anonymous

Golden State Warriors yachukua ubingwa wa NBA!

Timu ya kikapu ya Golden State Warriors imechukua ubingwa wa ligi kuu ya mchezo huo ya Marekani, NBA.
11355115_738041372973765_164465367_n
Huo ni ushindi wa kwanza wa timu hiyo tangu mwaka 1975, miaka 40 iliyopita.
Warriors wamewafunga Cleveland Cavaliers pointi 105-97 kwenye mchezo wa sita wa fainali za NBA iliyomalizika alfajiri ya Jumatano hii kwa majira ya Afrika Mashariki.
Stephen Curry na Andre Iguodala walifunga pointi 25 kila mmoja.
Curry aliyewahi kuja Tanzania mwaka 2013 ndiye aliyekuwa nyota wa michezo yote sita ya kuwania fainali ya ligi hiyo.
steph-nets-2

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.