Monday, June 22, 2015

Anonymous

CHRIS BROWN NA IDEA HII YA KUIGWA NA WABABA WOTE DUNIANI!


Chris Brown akiwa na binti yake Royalty Brown.
MWANAMUZIKI wa nchini Marekani, Christopher Maurice "Chris" Brown amejiandalia sherehe maalum kusherehekea Siku ya Baba Duniani ambapo mgeni rasmi atakuwa binti yake Royalty Brown mwenye umri wa mwaka mmoja.

Chris amewaalika marafiki zake wenye watoto kujumuika naye katika sherehe hiyo inayofanyika leo huko Marekani.
Siku ya Baba Duniani katika nchi nyingi huadhimishwa Jumapili ya tatu ya Mwezi Juni kila mwaka.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.