Baraza Kuu La Waislamu Tanzania (BAKWATA) kutangaza jina la Mufti Mpya leo saa Tano Asubuhi!
Baraza Kuu La Waislamu Tanzania (BAKWATA), leo saa Tano asubuhi linatarajia kutangaza jina la Kiongozi Mkuu wa Waislamu Tanzania (MUFTI).
Nafasi ya Mufti ilikuwa wazi baada ya Kifo cha Mufti Issa Bin Shaaban Simba kilichotokea Jumatatu, tarehe Juni 15, 2015 katika hospitali ya TMJ Jijini Dar es Salaam alipokuwa anatibiwa baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Note: Only a member of this blog may post a comment.