Baada ya kuachana na mume wake Nick Cannon aliyezaa naye watoto
wawili mapacha, Mariah Carey anaonekana kusonga mbele na kuanzisha
uhusiano na bilionea James Packer, mmiliki wa macasino nchini Marekani.
Mariah ameonekana akila bata la hatari na tajiri huyo anayezunguka naye kwenye nchi mbalimbali na weekend hii walikuwa Italia.

Note: Only a member of this blog may post a comment.