Saturday, June 20, 2015

Anonymous

14 PICHAZ: MAJONZI TELE! Maombi yafanyika baada ya watu 9 kuuawa kwenye kanisa la kihistoria la wamarekani weusi!

Maombi katika nchi nzima ya Marekani yamefanyika baada ya watu tisa kuuawa kwenye kanisa la kihistoria la wamarekani weusi la Charleston, South Carolina.

Waumini wa kanisa palipotokea mauaji hayo wakiwa kwenye huzuni nzito
Mshukiwa wa mauaji hayo, Dylann Roof, 21, alikamatwa wakati akikimbia kwa gari maili 20 kutoka mji huo.

Mshukiwa wa mauaji hayo, Dylann Roof akiwa kwenye ulinzi mkali

Wanawake sita na wanaume wawili akiwemo mchungaji wa kanisa hilo waliuwa katika shambulio hilo.

Makanisa kadhaa kwenye mji wa Charleston yalikuwa yamejaa waumini waliokuwa wakiwaombea marehemu. Misa zingine zimefanyika kwenye miji ya Miami, Detroit na Philadelphia.








USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.