Sunday, May 17, 2015

Anonymous

RAIS NKURUNZIZA WA BURUNDI AWAHUTUBIA WANAHABARI MJINI BUJUMBURA!

RAIS Pierre Nkurunziza wa Burundi amewahutubia wanahabari mjini Bujumbura ikiwa ni mara ya kwanza tangu arejee nchini humo akitokea Tanzania baada ya jaribio la kutaka kumpindua kukwama.
Rais huyo alirejea Burundi juzi Ijumaa ikiwa ni siku mbili tangu jaribio la kutaka kumpindua kugonga mwamba.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.