Faiza Ally
Naomba kushea na nyinyi kidogo kitu kipya- hiyo gari hapo ni posh gari ambayo ni matajiri tu huko duniani ndio wanaendesha lkn Dubai ni za police ����kitu ambacho ni amazing compare na nchi zingine zote duniani-sitaki kufananisha SANA Dubai na Tanzania kwa sababu najua wenzetu wako mbali SANA lkn pamoja na yote police wa kwetu wako kwenye mazingira magumu SANA ya kufanyia kazi ... - again nilikua na jiuliza kuhusu local people kama wana fanya kazi leo nime pata majibu..... Nazani ni kitu kizuri serekali yetu kujifunza hapo @mrishompoto @joseph_sugu_mbilinyi kwamba waraabu wenyewe wa emirates wengi wao wana fanya kazi serekali tu kwa sababu serekali iko vizuri kitu ambacho nchi nyingi duniani ikiwemo Tanzania tu naamini private company ndio kuna mishahara mizuri na huduma nzuri zaidi ya serekali- lkn kwa wenzet serekali iko juu zaidi ya private kitu ambacho kingekua kizuri kwetu sana - naamaanisha serekali inatakiwa iwe juu zaidi kuliko private- ingeweza kusaidia kufanya kazi kwa bidii pia kukomesha rushwa.....

Lkn kama mshahara ni laki na nyumba ni 50 tena mwenye nyumba anataka kodi ya mwaka how are we gone manage that ???? Rushwa haiwezi kuisha kama serekali yetu haita angalia hili kwa umakini na kujali wananchi wake na haki zao za msingi.... Nawakilisha hoja yangu kwa muheshimi mbunge- @joseph_sugu_mbilinyi na mpigania haki za watanzania @mrishompoto ��
Note: Only a member of this blog may post a comment.