
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Paul Makonda akiwa na mke wa marehemu Adam Kuambiana aliyekuwa Msanii maarufu wa Bongo Muvi kwenye kaburi lake ambalo Mkuu huyo wa Wilaya ameligharamia gharama zote za kulitengeneza upya baada ya kuharibika sana kwenye makaburi ya Kinondoni juzi Jumapili. Shuguli hiyo pia ilihudhuriwa na Wasanii wengi wa fani mbali mbali nchini pichani.







Note: Only a member of this blog may post a comment.