Maelfu ya wananchi wa mkoa wa Mara na mikoa jirani wamejitokeza katika mazishi ya mtoto wa nne wa baba wa taifa kapteni John Guido Nyerere, ambayo yamefanyika katika makaburi ya familia eneo la Mwitongo kijijini Butiama mita chache kutoka katika kaburi la baba wa taifa hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.





Note: Only a member of this blog may post a comment.