Thursday, May 21, 2015

Anonymous

20 PICHAZ: HIVI NDIVYO RAIA ALIVYOUAWA NJOMBE!


Sababu ni kile kinachodaiwa askari polisi kumuuwa kwa risasi mwananchi wa mtaa wa Kambarage na kumjeruhi mwingine
 
Kijana Basil Ngole Anayedaiwa kuuawa na polisi jana usiku majira ya Tatu Huko Kambalage Njombe


 
Kijana Fredy Ambaye Alijeruhiwa Akiwa Hospittal ya Mkoa wa Njombe Huko Kibena Asubuhi ya jana











Hali ya Taharuki yaendelea Hadi Mchana Huu Mjini Njombe Kufuatia Maandamano Makubwa ya Wananchi Baada ya Kile Kinachoelezwa Askari Polisi kumuuwa Mwananchi Basil Ngole Mkazi wa Kambalage Mwenyeji wa Lugenge.

Mapemba jana Asubuhi Wananchi Hao Wameandamana Kutoka Kambalage Hadi Hospitali ya Mkoa Huko Kibena Kumjulia Hali Majeruhi Kijana Fredy Ambako Mabomu Yalianzia Majira ya Nne Asubuhi Baada ya Wananchi Kufunga Barabara Kwa Mawe Kutokana na Kucheleweshwa majibu ya kauli ya Jeshi la Polisi Juu ya Mauaji Hayo.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.