Friday, April 17, 2015

Anonymous

JE, UCHAGUZI MKUU TZ KUAHIRISHWA?! TAMKO RASMI LA NEC LIPO HAPA

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Damian Lubuva
Tume ya taifa ya uchaguzi (NEC) imesema kuwa haiwezi kuahirisha uchaguzi mkuu wa mwezi October mwaka huu na haina mpango wa kuiongezea muda serikali iliyopo madarakani kutokana na kusuasua kwa zoezi la uandikishwaji wa daftari la wapiga kura.
Tamko hili limekuja baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kudai kuwa tume inachelewesha zoezi la uandikishwaji wa daftari la wapiga kura ili kuiongezea muda serikali iliyoko madarakani kuhudumu.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.