Habari za hivi punde:
Mkoani morogoro watu 9 wamekamatwa kwenye msikiti mmoja wakiwa na mabomu, silaha na milipuko mikubwa ya hatari. Habari za kichunguzi zinasema walikua wanajiandaa kufanya shambulizi ktk chuo kikuu kimoja kilichopo mkoani morogoro, watu hao 9 bado wanashikiliwa na jeshi la polisi mkoani humo kwa uchunguzi zaidi. Ktk harakati za kuwakamata askari polisi mmoja kakatwa shingoni na jambia.
NEW UPDATES!

Note: Only a member of this blog may post a comment.