
Hot news in town, is bwana mdogo Naseeb Abdul homa ya jiji imedhirika wazi leo kupitia mtandao huu kuwa amemvisha pete ya uchumba au engagement ring kwa mwanadada Zari the bosslady, wadau wengi wamekuwa wakijudge yakuwa pete hiyo ilivishwa kwa sababu yakuwa eti mwanadada zari ana ujauzito wa Diamond the Platnumz na anatarajia kujifungua mtoto wa kike but the truth is si kweli itakumbukwa ykuwa mwanadada Wema Sepetu pia alishawahi kuvishwa pete hiyo so let us wait n see tuone yatakapoishia...

Note: Only a member of this blog may post a comment.