Sunday, February 22, 2015

Anonymous

WAFAHAMU WASANII 12 WA BONGO AMBAO DIAMOND PLATINUMZ ANAWASHEMU SANA!

Diamond Platinumz usiku wa kuamkia leo ameweka picha hiyo hapo chini katika ukurasa wake huku akiisindikiza na ujumbe unaofuata baada ya picha hiyo:
 These are the people who INSPIRED me alot in my Music world...they played such a big part in my dreams... jus One word to them "I appreciate" ( Hawa ndio watu walionifanya nitamani sana nami kuwa Mwanamziki.. Walikuwa na nafasi kubwa sana katika Ndoto zangu... Neno Moja tu kwao "Nawaheshim sana" )
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142. 
ASANTE NA KARIBU TENA!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.