Sunday, February 22, 2015

Anonymous

PICHAZ: IRENE UWOYA aonesha Tatoo yake ili watu waisome?

Vijimambo: Picha hii ya mrembo na mwigizaji wa filamu anaezimikiwa na mashabiki wengi, Irene Uwoya imewaacha midomo wazi mashabiki wake huku wakiwa na alamaza kujiuliza vichwani mwao.

Irene aliibandika picha hii mtandaoni bila kuandika kitu chochote kwa hiyo ikawa kawa amewaachia fursa mashabiki wake watiririke.
Mbali na watu kusifia uzuri wake kwa ujumla, watu wengi walijikita kwenye tattoo yake ambayo amejichora juu ya kifua, karibu kabisa na shingo yake.
Wengi walijiongeza kuwa mwanadada huyu ameionyesha tattoo hiyo ili watu waweze kusoma ni nini alichokiandika, na wapo walio jaribu kuandika kile kilichoandikwa hapo.

Kiukweli mimi macho yangu hayako vizuri, mwenye macho tunaomba umtusidie, ameandika nini hapo?
Mzee wa Ubuyu!

5 PICHAZ: [AIBU] KIM KARDASHIAN AJIANIKA MTUPU KWA AJILI KUPAMBA JARIDA LA LOVE!
===>>JIONEE HAPA!
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142. 
ASANTE NA KARIBU TENA!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.