Tuesday, February 10, 2015

Anonymous

"Mimba My Foot" Mashabiki wa Zari (Mpenzi wa Diamond) Wamvaa Wema Sepetu baada ya kukejeli Mimba Yake!

Wema Sepetu anahisi ujauzito wa Zari The Boss Lady ni geresha tu, hakuna lolote!

Hii ni kwa mujibu wa picha inayoonekana kuwa iliwekwa kwenye ukurasa wa Instagram wa Miss Tanzania huyo wa mwaka 2006 na ex wa Diamond Platnumz.

Picha hiyo haipo tena lakini Zari alifanikiwa kuipata na kuiweka kwenye ukurasa wake wa pili (zarithebosslady_) kuelezea alivyosikitishwa na kauli ya Wema kwenye picha yake (Zari) isemayo ‘mimba my foot’.
Kwa mujibu wa urbandictionary.com msemo ‘my foot’ humaanisha: An exclamation that means that one believes the previous speaker’s statement to be untrue.

Mrembo huyo wa Uganda anayetarajia kumzalia Diamond mtoto wake wa kwanza, aliipost picha hiyo na kuifuta tena baadaye na kuandika:
"Astagafululah! May God Protect Zarimond and chibu junior #zaritlale#chibujunior #zarihassan #chibudangote" 
JIUNGE NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.ASANTE NA KARIBU TENA!   

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.