Msanii Davido akiwa mbele ya gari zake
Mwimbaji nyota wa Nigeria Davido amemshutumu mwalimu wake wa sekondari kuwa alimwambia yeye hawezi kufanikiwa maana ni dhaifu sana. Mwanamuziki huyo aliandika kwenye ukurasa wake wa instagram kuwa utabiri wa mwalimu wake wa lugha ya kifaransa haujafanikiwa maana sehemu sahihi kwake ulikuwa ni muziki.Davido aliweka ujumbe huo akiwa mbele ya gari zake mbili nyeusi, range rovers pamoja na Mercedes-Benz G55 AMG Msanii huyo alifanya hivyo ili kuonesha mafanikio yake aliyoyapata kupitia muziki.
KUTANA NA DADA YAKE WEMA, NURU SEPETU! KUMBE NAE NI MSUPA NIAJE!
===>>JIONEE PICHAZ HAPA!
JIUNGE
NASI FACEBOOK > >>BONYEZA HAPA.KAMA KUNA TATIZO AU
UNA PICHA ZA MATUKIO TUTUMIE WHATSAPP +255 712 919 142.ASANTE NA KARIBU
TENA!
===>>JIONEE PICHAZ HAPA!


Note: Only a member of this blog may post a comment.