Tuesday, September 13, 2016

Unknown

Tanzania Tunajiaibisha Kwenye Airline Industry

Tulishawahi kumiliki boeing miaka ya 80s leo majirani zetu wanatucheka tunaposhangilia vindege viwili vya panga boy. Hadhi yetu tuliyofikia ni ya kumiliki Airbus 310+. 

Ethiopian airlines:
Long Range Passenger Services
2- Airbus A350XWB
14- Boeing 787-8
6- Boeing 777-200LR
7- Boeing 767-300
4- Boeing 777-300ER

Medium Range Passenger Services
2- Boeing 757-200
5- Boeing 737-700NG
14 –Boeing 737-800NG

Regional and Domestic Passenger Services
17 - DHC8-Q400 NG

Cargo and Non-Scheduled Services
6 - Boeing -200LRF (cargo)
2 - Boeing 757-260F (cargo)
Total operating fleet 79 Aircrafts.

Kenya Airways fleet.
7 - Boeing 787
1 - Airbus A 310
2 - Boeing 737
10 - Boeing 737 Next Gen
15 - Embraer

Total operating fleet aircrafts 35.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.