Kupitia Twitter yake Diamond aliandika kuhusu ngoma itayowakutanisha wakali wawili ambao ni Harmonize wa Tanzania na Korede wa Nigeria, sasa AyoTV imempata kwenye Exclusive Interview na kuelezea ambapo pia muonekano wake ulionekana ukiwa na mabadiliko ya meno ya Gold, tazama hii video hapa chini
-via Millardayo
Note: Only a member of this blog may post a comment.