Thursday, June 2, 2016

Unknown

Sony Music Waanza Kuchekelea Mafanikio ya ALI KIBA

Video ya wimbo mpya wa staa huyo, Aje, imefikisha views milioni 1 ndani ya siku saba tangu iwekwe kwenye mtandao wa Youtube.
Hiyo haijawahi kutokea kwa msanii yeyote wa Afrika aliyefikisha idadi hiyo ya views ndani ya wiki moja akiwa chini ya label hiyo.

Ndio maana hawakusita kujivunia kwa hatua hiyo.
In 1 week, @OfficialAliKiba’s music video for #AJE, has hit 1mil views! Nice one, Africa! Keep going,” wameandika Sony kwenye Twitter.
Wiki mbili zilizopita Alikiba alisainishwa recording deal na label hiyo kubwa duniani.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.