Friday, June 3, 2016

Unknown

EXCLUSIVE: Jibu Alilotoa Aunty Ezekiel Kuhusu Ndoa na Mose Iyobo


Mwigizaji wa bongo movie Aunty Ezekiel amekaa kwenye Exclusive Interview na AyoTV na moja ya maswali ameulizwa ni kuhusu ndoa na Baba mtoto wake aitwae Mose Iyobo ambaye ni dancer wa Diamond Platnumz, yuko tayari kwa ndoa?

Amejibu >>> ‘Mose Iyobo ameniambia kuhusu ndoa lakini sijui, naiona poa kwasababu mwisho wa siku mwanangu anampenda sana baba yake na siko tayari kumpoteza Iyobo kwasababu ya mwanangu, yani ukiacha mazingira mengine yote nimemuahidi mtoto wangu furaha ya milele‘

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.