Monday, March 7, 2016

Anonymous

Show ya ALI KIBA Huko Nigeria Yapondwa Vibaya na Shabiki Wake! Shuka Nayo Hapa

Shabiki wa Kiba anayejiita @kiba_for_real Huko instagram mambo yamemfika shingoni na kuamua kusema haya:
"Leo naomba fans wenzangu wa alikiba mnisamehe nitaongea kinachoniuma,1.ivi king Kiba alipokuwa Nigeria alikuwa na uongozi wake? Na kama walikuwepo walihusika vip na maandalizi ya show ya king? Jamani wakati mwingine tuwe wakweli anapokosea sio tuwe tunasifia wakati kukosea alie iona ile show kama Ana mapenzi ya dhati na king Kiba Kuna mapungufu makubwa aliaona mfano sauti vyombo vilikuwa havisikiki vizuri Kiba mwenyewe alikuwa anaimba kama vile a naogopa yaaaani kama underground wakati ni msanii mkubwa Africa. Ndugu hapo ndio domo anatuzidi kwenye uongozi Hilo lilikuwa jukumuu Lao ivi wanageria watampa Tena shavu? Ilikuwa nafasi ya pekee kwa alikiba kuwa onyesha wa Nigeria kuwa Tanzania Kuna mtu muhimu kama yeye lakini show ikawa imedorora kama msanii mchanga, management ya king Kiba haifai kabisa wooote watolewe au Wana njama maaana show Za live Za king hapa bongo kila mtu anajua ni shidaaa hadi Domo anakimbia kiukweli show ya juzi tusimsifie ilikuwa mbovu mno wadau tueleze ukweli "

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.