Muongozaji mahiri anayatamba kwa kuongoza video nyingi kwa sasa amemtaja director ambaye kwa upande anahisi anakuja kwa kasi kwenye tasnia hiyo.
Hanscana amemtaja director Nicklass ambaye ametengeneza video ya shika adabu yako ya Nay wa Mitego kama director mwenye uwezo mkubwa na anamwona mbali kwa kipindi kijacho.
“huyu jamaa anaitwa Nicklass,mimi namuona mbali sana baada ya mwaka mmoja..ukiangalia video zake nyingi utajua nini anafanya,anapiga picha kali,anachanganya vizuri matukio..Yani katika vijana naowatabiria mafanikio ni huyu jamaa” alifunguka hanscana.
Source: Bongo5
Note: Only a member of this blog may post a comment.