Sunday, March 13, 2016

Anonymous

DIAMOND Platnumz Amtumia Salamu za Pongezi PAUL MAKONDA Baada ya Kuteuliwa Kuwa Mkuu wa Mkoa.. .Asema Haya

Mwanamuziki Mwenye mafanikio makubwa katika mziki wa Bongo flava ametuma salamu za pongezi kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kuandika haya:
Mafanikio hujaga kwa juhudi na kuto kukata tamaa... Hongera sana my brother @PaulMakonda kwa kuchaguliwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam... nakutakika kila lenye kheri kwenye kuhakikisha Dar es salaam yetu Inang'ara @PaulMakonda

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.