Wednesday, February 17, 2016

Anonymous

Ujumbe Huu wa WEMA SEPETU Aliouandika Mwenyewe Kuhusu Mimba Yake Wawaliza Wengi!

Wema Sepetu amepost picha hii hapa chini na kisha kuandika  maneno hayo yanafuata baada ya picha kwenye page yake:
Wemasepetu - "Ni kweli. Na imeniuma sana lakini nimefika kwenye hatua maishani mwangu naweza kusema Alhamdulillah for everything.
Alhamdulillah kwa wote wanaojua uchungu nilionao na wameonyesha moyo wa kibinadamu. Nawashukuru kwa upendo wenu, MNANIPA NGUVU.

Alhamdulillah kwa wote wanaojua uchungu nilionao na wamefurahia kwasababu zao binafsi. Nawashukuru kwa uwepo wenu, MNANIPA UJASIRI.
Alhamdulillah kwa siku ya kesho. Ilimradi nina pumzi, SITACHOKA KUJARIBU TENA.
Hata ukikosa, ukakosa, ukokosa eeeeeeh...sema ASANTE, KWELI YEYE NI MUNGU.
Alhamdulillah for EVERYTHING! " Wema Sepetu

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.