Monday, February 29, 2016

Anonymous

Maneno 105 Yaliyoandikwa na ZITTO KABWE Kwenye Mitandao ya Facebook na Twitter Yawa Gumzo!

Zitto Kabwe ni Mbunge wa Kigoma Mjini kupitia chama cha ACT Wazalendo february 28 amezichukua headline tena baada ya kuandika maneno yafuatayo kwenye mitandao yake ya kijamii (Facebook na Twitter).  
Tazama alichokipost hapa chini;
‘Mlima Kilimanjaro Kenya, Samatta Botswana/Tunisia/DR Congo/ Olduvai Gorge Kenya DiamondPlatnumz Kenya nk ni matokeo ya kutoitangaza nchi. Nchi kuwa Brand sio kazi ya bahati nasibu. Ni kazi inayofanywa sawa sawa na kuna watu kazi zao ni hizo tu na bajeti ya kubrand nchi ni kubwa. Leo mtu hawezi kusema ‘Okonkwo Tanzania ‘ wakati duniani vitabu vya Chinua Achebe vilitafsiriwa lugha 54 na mamilioni ya nakala kuuzwa. Fasihi hu’brand’ nchi. Michezo hubrand nchini. Matangazo ya Utalii hubrand nchi. Wanasiasa wenye heshima duniani hubrand nchi. Siku tukiacha porojo na kufanya kazi nchi itabrandika. Tuamue tu‘

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.