Tuesday, February 16, 2016

Anonymous

IMEVUJA: Sikiliza Sauti ya Dongo JANJA Akimtongoza Msichana... Afunguka Yote Mpaka Kuwaponda na TIP TOP Connections... Adai Wanamfanyia Revenge

Ikiwa zaidi ya mwaka mmoja tangu tusikie Dogo Janja kurudi Tip Top Connection bado tunasubiri ujio wake mpya akiwa na kundi lake hilo la zamani,Nimefanikiwa kupata sauti ya Dogo Janja Akimtongoza Msichana Na Kufunguka yote kuhusu Tip Top Connection Kumbania...
Majibu aliyotoa Dogo Janja ndiyo yanayobeba kitu tunachojiuliza kama ana bifutena na Tip Top Connection,unaweza kusikiliza kwa kubonyeza play hapo chini.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.