Michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya
inaendelea tena Jumanne ya November 3 na Jumatano November 4 kwa michezo
kadhaa kupigwa katika viwanja tofauti tofauti barani Ulaya. Mechi za
November 3 na 4 zimebadilika kidogo muda wa kuanza kwa mechi hizo kwani
mechi nyingi zitaanza saa 22:45 usiku na sio saa 21:45 ila mechi ya FC Astana dhidi ya Atl Madrid itaanza Saa 18:00.
Mechi za November 3 ambazo zitachezwa Saa 22:45 kasoro mechi ya FC Astana Vs Atl Madrid ambayo itachezwa Saa 18:00
Msimamo wa makundi kabla ya mechi za November 3 na 4
Note: Only a member of this blog may post a comment.