January MAKAMBA Naamini Amepata cha Kujifunza!
Kwenye Maisha kimbelembele hakifai kabisa, kujikweza sana karibu na wakubwa sio tiketi ya kupata wadhifa wa juu.
Nampa pole January Makamba, asubirie Uwaziri tu lakini sio Uwaziri Mkuu.
Wahenga wasema, kukaa karibu na Mahakama sio kujua sheria.
By Mussolin5/Jamii Forums
USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK
TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)
Note: Only a member of this blog may post a comment.