Tuesday, October 27, 2015

Anonymous

Mgombea wa CHADEMA Atafuna Karatasi ya Matokeo na Kuchoma Moto Mapazia ya Kituo Jijini Dar [VIDEO]

Mgombea wa Udiwani kata ya Kunduchi kupitia tiketi ya CHADEMA atafuna karatasi ya matokeo ya uchaguzi na kuchoma moto mapazia ya kituo cha kuhesabia kura baada ya kushindwa.
Shuhudia video hiyo hapa


Mgombea wa Udiwani kata ya Kunduchi kupitia tiketi ya CHADEMA atafuna karatasi ya matokeo ya uchaguzi na kuchoma moto mapazia ya kituo cha kuhesabia kura baada ya kushindwa.#kituochakochauchaguzi
Posted by Azam TV on Monday, October 26, 2015

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.