#Breaking: Matokeo ya uchaguzi mkuu Zanzibar yamefutwa, madai ni haukuwa huru na haki.
Sababu nyingine iliyochangia kufutwa kwa matokeo hayo ni pamoja na ikiukwaji wa sheria ikiwemo mgombea Maalim Seif kujitangaza kwenye matokeo kuwa mshindi.
Endelea kufuatilia hapa kandiliyetu.com kwa updates zote muhimu za uchaguzi mkuu na matukio mbalimbali kama bado hauja-like page yetu ya facebook bonyeza hapa
Note: Only a member of this blog may post a comment.