Ziara ya mgombea urais kupitia UKAWA Edward Ngoyai Lowassa
akiendelea kutembelea mikoa mbalimbali Sept 11 amesimama kwenye viwanja
vya Barafu Mkoani Dodoma akiambatana na aliyewahi kuwa waziri mkuu Fredrick Sumaye pamoja na viongozi wengine wa umoja wa Ukawa kutoka CUF, NCCR, NLD pamoja na CHADEMA
Askari kazini kuhakikisha usalama unakuwepo
Edward Lowassa akiwasili kwenye uwanja wa mkutano
Waimbaji wa nyimbo za Injili Bahati Bukuku na Flora Mbasha kwenye mkutano wa Ukawa mjini Dodoma
Sio tatizo kupanda juu kama nafasi yakuona vizuri haipatikani
Time ikafika ya mgombea urais Edward Lowassa kuzungumza na wakazi wa Dodoma
Note: Only a member of this blog may post a comment.