Friday, September 11, 2015

Anonymous

Ikifika tarehe 01/10/2015 LOWASSA Atakuwa Rais wa Tanzania, Isipokuwa...

Mwezi juzi niliwajuza hali ya hatari ya kisiasa iliyopo nchini Tanzania hasa hila zinazofanywa dhidi ya Upinzani ulio chini ya Edward Lowassa.

Niliwaeleza mikakati ya hatari inayoratibiwa na kitengo cha CCM na nikawajuza njia za kutegua mikakati hiyo ambapo ni hakika na kweli UKAWA imeshinda tena kwa kishindo, Hongera kamanda Mbowe, hongera Ukawa.  

Rejea taarifa hii hapa chini
Ninamaana ya Red Brigade, Blue Guard, na idara ya Ulinzi ya chama cha NLD, bila kutulia na kuimalisha ulinzi taifa litayumba,

Idara ya usalama ya ccm ilipomaliza kazi yake tu Dodoma nguvu kubwa imeelekezwa kuiangusha ukawa, wamepewa mission hii kufikia Jumatano iwe imekamilika na ukawa ibaki historia,
 

The first mission ni kuhakikisha wanawanunua sehemu ya viongozi wakuu wa UKAWA, ambapo bajeti ya mission hii ni 150 billions na umewekwa utaratibu wa kuongeza ikiwa kutakuwa na uhitaji,
The second mission ni kufarakanisha ukawa kupitia media na facials blackmails, hii tayari imeanza kufanya kazi kwa siku ya tatu mfurulizo, zingatieni resistance of Lowasa's demands

The third mission ni assassination's, hapa ni mpaka hizo juu zikifeli.
 

Narudia tena, idara ya usalama ya "ccm" imevamia ukawa kwa nguvu zote, na ndani ya 48 wanatakiwa kutoa matokeo chanya na sio hasi.
Salama ya Ukawa ni msimamo thabiti wa kuweka maslahi taifa mbele kwa viongozi wa Ukawa hasa Mbatia, Lipumba, Makaidi na Mbowe.

Kati ya hawa mmoja akiingia mtego wa hawa majasusi wa Lumumba nchi imekwisha, gesi na raslimali zetu zote zimekwisha kama ilivyo kwa madini nk.
 

Narudia tena, idara hiyo ipo kazini, vita imeanza ukawa isilale!
Naam, Vita inasonga mbele,
Jioni ya leo kimemalizika kikao cha tathimini ya hatua ya utekelezaji wa mikakati hiyo mikubwa miwili,

Hasira, mifarakano na lawama zimetawala kikao cha leo ambapo ccm wanalaumiana udhaifu wa utekelezaji wa mipango yao umekuwa ni chukizo kubwa kwa wakware wa Lumumba. 


Matumizi makubwa ya pesa katika miradi hii miwili iliyogharimiwa kwa ubia wa makampuni mawili ya mwenyekiti wa WAMA ni sehemu ya kiulizo kikuu kwamba yapo wapi matokeo chanya ya biashara hii ya kisiasa?? Wanahojiwa, iweje mnazubaa mpaka mnachukuliwa kideo kabisa mkimuongoza mdau wetu Delila na Samson?? Wanabaki kuguna tu, wanaambiwa mmetuuza!!!
Mpango wa mwisho unaendelea, sasa vikosi vimebadilishwa, waliofeli wamerudishwa nyuma,
 

Matarajio ya mahafidhina ya Lumumba nikuwa utekelezwaji wa mpango huu uwe ndani ya siku 15 kuanzia kesho,
Taarifa ni nusu ya ushindi, mpaka hapa UKAWA washaushinda mkakati huu dharimu ikiwa..... Achilia mbali usumbufu utakaofuata wiki zijazo wa kukamata vijana wa bodaboda na kununua wasanii na vitisho kwa wazamiaji kama sisi japo sie tayari tushawapeleka kibra na Mohamed Machemichal yupo tayari
.
Source: Yericko Nyerere/Jamii Forums via Wazo Huru

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.