Monday, August 17, 2015

Anonymous

VIDEO&PICHAZ: Baada ya kazi ndani ya Uwanja hiki ndicho Cristiano RONALDO huwa anafanya na mtoto wake!

Cristiano Ronaldo nahodha wa timu ya taifa ya Ureno anayeichezea klabu ya Real Madrid ya Hispania lakini pia ni baba wa mtoto mmoja wa kiume mwenye umri wa miaka mitano Cristiano Ronaldo Junior, Ronaldo huwa na utamaduni wa kumpeleka shule mara kwa mara pale anapokuwa hana majukumu ya kitimu.
ronaldo
Ni kawaida sana kumuona Ronaldo na mtoto wake wakati wa likizo akiwa katika miji mbalimbali duniani wakicheza na kufurahia pamoja, ila kingine ambacho Ronaldo anafanya anapokuwa nyumbani na mwanae ni kucheza michezo mbalimbali ikiwemo kufanya mazoezi ya mpira.
a
Hii hao chini ni video wakila bata Weekend!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.