Sunday, August 2, 2015

Anonymous

PSG bingwa wa Super Cup 2015 (Pichaz & Video)

Wiki moja kabla ya kuanza kwa Ligi Kuu mbalimbali barani Ulaya kila Nchi huwa na utaratibu wa kucheza mchezo wa Hisani, Ufaransa na Ujerumani huwa wanaita Super Cup lakini kwa Uingereza wanaita Community Shield ambapo hukutanisha bingwa wa Ligi Kuu na bingwa wa Kombe la FA.
hqdefault
Ufaransa August 1 umepigwa mchezo wa Fainali ya Super Cup kati ya klabu ya Paris Saint Germain (PSG) dhidi ya klabu ya Olympique Lyonnais, mchezo uliopigwa katika dimba la Stade Saputo na klabu ya PSG kuibuka mabingwa wa kombe  hilo baada ya kuifunga Olympique goli 2-0 Serge Aurier dakika ya 11 akipachika goli la kwanza huku goli la pili likiwekwa wavuni na Edson Cavani dakika ya 17.
Nimekusogezea pichaz na video karibu yako
482677124
482677122
482677118
482677086
482677088
482677100
482677104
482677116
482677084
482677080
482677054
482677026
Tazama video ya kwanza hapo chini...
Video ya pili hii hapa...

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.