Alikiba na Diamond wakiwa katika foleni ya chakula jana usiku Mlimani City katika hafla ya chakula cha jiona na rais JK.
Kama kusoma hujui asi tazama japo pichaz, hivi wewe unavyoona taswira hiyo hao juu inaonesha hawa jamaa wana ugomvi kweli?! Tuambie maoni yako hapo chini!

Note: Only a member of this blog may post a comment.