Monday, August 17, 2015

Anonymous

LOWASSA Alitofautiana na Misimamo ya CCM Hata Kabla Hajaenguliwa Kugombea Uraisi Kwanini?

Mgogoro au tofauti kati ya Lowassa na chama cha awali ulionekana mapema hata kabla ya kufanyiwa mizengwe katika uchaguzi wa mgombea uraisi wa chama hicho kutokana na misimamo yake.

1. Alikubali kuwajibika kisiasa jambo ambalo ni nadra kwa kiongonzi wa CCM

2. Alitamka hadharani kutofautiana na kipaumbele cha "kilimo kwanza" yeye alitaka "elimu kwanza" .

3. Alidai ajira ya vijana ni "bomu linalosubiri kulipuka" muda wowote, wakubwa wake wakamnunia wakidai mambo yako shwari.

 4. Anachukizwa na umasikini watanzania wenzake walidai hali ya uchumi ni nzuri labda kwa wenye kuvaa miwani ya mbao.

5. Anaamini katika mabadiliko sasa (Time 4 Change now) wenziwe BRN . 

Toa maoni yako na kama yapo niliyoyasahau ongeza tafadhali.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.