Tuesday, August 11, 2015

Anonymous

JE, WAJUA?! Hawa ndio mastaa 20 duniani wenye followers wengi zaidi kwenye Instagram, 15 ni wanawake!

Mtandao wa Instagram ndio habari ya mjini sio tu Tanzania bali duniani kwa ujumla. Hii ni orodha ya mastaa duniani wenye followers wengi zaidi kwenye mtandao huo. Unashangaa kuwa 15 ni wanawake?
mademu
1. Beyonce – milioni 42.7
2. Kim Kardashian – milioni 42.1
3. Taylor Swift – milioni 41.5
4. Ariana Grande – milioni 40.3
5. Selena Gomez – milioni 40.2
6. Justin Bieber – milioni 35.7
7. Kendall Jenner – milioni 33.9
8. Kylie Jenner – milioni 31.9
9. Nicki Minaj – milioni 30.9
10. Neymar – milioni 29.4
11. Khloe Kardashian – milioni 29.1
12. Miley Cyrus – milioni 26.1
13. Cristiano Ronaldo – milioni 26.1
14. Kary Perry – milioni 25.4
15. Jennifer Lopez – milioni 24.8
16. Rihanna – milioni 24
17. The Rock – milioni 23.4
18. Leo Messi – milioni 22.3
19. Kourtney Kardashian – milioni 22
20. Demi Lovato – milioni 20.4
Chanzo:cosmopolitan.com

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.