Monday, August 17, 2015

Anonymous

Je, Kuna Ukweli Kuwa Wafuasi wa LOWASSA na CHADEMA, Hawajui Wanafuata Nini?!

Nimekutana na Hii Mahali eti ...Naomba niwaulize Kama kuna ukweli juu ya hii kauli hapa chini"

"Nimefikiria akili za hawa wafuasi wa huyu mtu aliekatwa nimegundua ni kama nyumbu tu wale wa serengeti ambao hufuata mkumbo tu bila hata kujua wanakwenda wapi na kwa nini wavuke mto sehemu ya hatari wakati sehemu salama ya kuvuka ipo"

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.