Mhe.Kimbau amesema ameamua kufanya maauzi hayo baada ya kuikosa haki ndani ya Chama Cha Mapinduzi,na kusema kwamba kwa kumbukumbu zake anayakumbuka maneno ya hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere aliyesema ikifika kipindi watanzania wakiyataka mabadiliko,watayapata ndani ya ccm,wakiyakosa hapana budi kuyatafuta nje ya CCM...hivyo lazima aliona mbali na kujua ipo siku hayo yanaweza kutokea...
Monday, August 17, 2015
CCM YAPATA PIGO TENA! KIGOGO MWINGINE AIPIGA CHINI NA KUKIMBILIA CUF
Mhe.Kimbau amesema ameamua kufanya maauzi hayo baada ya kuikosa haki ndani ya Chama Cha Mapinduzi,na kusema kwamba kwa kumbukumbu zake anayakumbuka maneno ya hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere aliyesema ikifika kipindi watanzania wakiyataka mabadiliko,watayapata ndani ya ccm,wakiyakosa hapana budi kuyatafuta nje ya CCM...hivyo lazima aliona mbali na kujua ipo siku hayo yanaweza kutokea...
Note: Only a member of this blog may post a comment.