Friday, July 10, 2015

Anonymous

TANO BORA CCM URAIS: HIKI NDICHO KILICHOJIRI KATIKA KIKAO CHA KAMATI KUU JANA USIKU WA KUAMKIA LEO IJUMAA JULY 10,2015

Kila mmoja anayo shahuku ya kujua majina 5 yaliyopitishwa na kamati kuu iliyopangwa kukukatan jana usiku mjini Dodoma.

Taarifa rasmi zilizotufikia kandiliyetu.com kutoka Dodoma ni kuwa kikao hicho kiliketi na kuhahirishwa hadi leo asubuhi kutokana na sababu ambazo hazijatajwa rasmi.

Taarifa ya CCM ni kuwa leo ijumaa kutakuwa na vikao viwili ambapo kitaketi cha wanza kupata wateule watano na baadaye halmashauri kuu kukutna na kuteua watatu miongoni mwao ili majina hayo yapelekwe kwa mkutano mkuu hapo kesho.
Kwa hiyo mpaka sasa hakuna majina yaliyokwisha tangazwa.
Tutaendelea kuwajulisha kila jipya litakapojiri!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.