Friday, July 17, 2015

Anonymous

KUMEKUCHA CCM! Mzee Yusuph Naye Achukua Fomu ya Kugombea Ubunge Visiwani Zanzibar -PICHAZ


Mwimbaji wa Taarab, Mzee Yusuph ambaye siku kadhaa zilizopita aliwahi ku share na sisi ndoto zake za 2015 kuwa anatarajia kugombea ubunge kupitia chama cha Mapinduzi visiwani Zanzibar.
Leo July 16 kupitia kwenye @instagram yake amepost picha na kuwataarifu mashabiki wake kuwa tayari ameshachukua fomu ya kugombea nafasi ya Ubunge kupitia chama tawala cha Mapinduzi katika kijiji cha Fuoni Zanzibar.

Millard Ayo aliwahi kupiga stori na Mzee Yusuph kuhusiana na ishu ya Ubunge 2015. Waweza sikiliza interview hiyo hapa...
-via millardayo

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.