Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Tuesday, July 21, 2015
Anonymous
CHEKA UNENEPE UPASUKE KWA AFYA ASUBUHI HII: "Waacheni Majeruhi Waje kwangu" Kwa maana...
Kwa wale wasomaji wa Biblia, kuna mstari karibuni na mwisho wa barua ya 11 ya Mathayo usemao, "Njooni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha." ndicho kilichonijia kichwani nilipoiona katuni ya Masoud "Kipanya" hapo...
Note: Only a member of this blog may post a comment.