Thursday, July 9, 2015

Anonymous

BUNGE LALIPUKA KWA FURAHA BAADA YA RAIS JK KUMTAJA LOWASSA, WADAU WAFUNGUKA KIHIVI...


Katika hali isyokuwa ya kawaida leo Bunge limelipuka kwa furaha kubwa sana pale Rais JK aliyekuwa analiaga na kulivunja bunge alipomtaja mgombea wa sasa wa Urais Waziri Mkuu mstaafu Lowasa. Hali hiyo imewaacha watabiri wa siasa nchini kubaki solemba na kinachokuja kwenye mchujo wa wagombea huko ndani ya CCM Dodoma sasa hivi.


COMMENTS ZA WADAU!

Solomon G. Kadanga aissee lowassa ni rais mtarajiwa...dalili zimeonekana..
Like · Reply · 1 · 33 mins

Hellen Lyimo Wewe hiyo maneno ya kumtoa panya pangoni . Lowasa oyeeeeeeeeeee
Like · Reply · 31 mins · Edited

Benjamin Mbossa nimeona aisee sjui wanaanzaje kumkata
Like · Reply · 1 · 31 mins

Lilly Mbaga Nisingeelewa kitu daaah presha ina pandan.....presha ina shuka acha nifuturu sasa afadhali
Like · Reply · 1 · 23 mins

Mary Mkoka NIKO NASIKILIZA BUNGE.
AISEE LOWASA AMEFUNIKA .
MAKOFI YÀ NGUVU YAMIMINIKA KWA LOWASA BAADA YA KIKWETE KUMSHUKURU LOWASA
Like · Reply · 22 mins

Kiango Mayweather Embu adisieni vizuri jamani wengine tuko mbali
Like · Reply · 22 mins

Mjuni Charles kweli nimeamini!
Like · Reply · 21 mins

TZtv Outlaw Benjamin, Ndio maana inaitwa SIASA maana ya siasa ni Uongo, Kudangaya, Ahadi zisizotimia na Kujinufaisha mwenyewe. Mwanasiasa akipata upenyo kidogo tu anamkata mwenzie hata kama ni rafiki yake. It is called POLITICS my friend, haina guarantee.
Like · Reply · 19 mins · Edited

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.