KUMEKUCHA! WEMA SEPETU NDANI YA GWANDA ZA CCM TAYARI KWA KUGOMBEA UBUNGE KUPITIA MKOA WA SINGIDA -PICHAZ
Muigizaji maarufu Wema Sepetu ambae amekaa kwenye umaarufu kwa muda wa miaka mingi. Hivi sasa anatarajiwa kuingia kwenye njia mpya ya maisha yake.

Ripoti zilizonifikia ni kwamba Wema Sepetu kupitia chama cha CCM anatarajia kugombea ubunge wa viti maalum Singida. Kila raheri kwenye safari yake mpya.
USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK
TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)
Note: Only a member of this blog may post a comment.